Biblia inasema nini kuhusu Zipora – Mistari yote ya Biblia kuhusu Zipora

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Zipora

Kutoka 2 : 22
22 Huyo akamzalia mtoto wa kiume, akamwita jina lake Gershomu, maana alisema, Nimekuwa mgeni katika nchi ya ugeni.

Kutoka 4 : 26
26 Basi akamwacha. Ndipo huyo mkewe akanena, U bwana arusi wa damu wewe, kwa ajili ya kutahiri.

Kutoka 18 : 6
6 naye akamwambia Musa, Mimi Yethro mkweo nimekuja kwako, na mkeo, na wanawe wawili pamoja naye.

Hesabu 12 : 1
1 Kisha Miriamu na Haruni wakamteta Musa kwa sababu ya mwanamke Mkushi aliyekuwa amemwoa; maana, alikuwa amemwoa mwanamke Mkushi.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *