Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Zif
1 Wafalme 6 : 1
1 Ikawa katika mwaka wa mia nne na themanini baada ya wana wa Israeli kutoka nchini Misri, katika mwaka wa nne wa kutawala kwake Sulemani juu ya Israeli, katika mwezi wa Zivu,[5] ndio mwezi wa pili, akaanza kuijenga nyumba ya BWANA.
1 Wafalme 6 : 37
37 Katika mwaka wa nne nyumba ya BWANA ilitiwa msingi, katika mwezi wa Zivu.[6]
Leave a Reply