Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Zedadi
Hesabu 34 : 8
8 ⑱ na kutoka mlima wa Hori mtaweka alama hadi Hamathi; na kutokea kwake mpaka hadi hapo Sedada;
Ezekieli 47 : 15
15 Na huu ndio mpaka wa nchi; upande wa kaskazini, toka bahari kubwa, kwa njia ya Hethloni, mpaka maingilio ya Sedada;
Leave a Reply