Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Zared
Hesabu 21 : 12
12 Kutoka huko wakasafiri, wakapanga katika bonde la Zeredi.
Kumbukumbu la Torati 2 : 14
14 ⑭ Na siku tulizokuwa tukienda kutoka Kadesh-barnea hata tulipovuka kijito cha Zeredi, ilikuwa ni miaka thelathini na minane; maana, hata walipokwisha kuangamizwa watu wa vita kutoka kati ya kambi, kizazi chao chote, kama walivyoapiwa na BWANA.
Leave a Reply