Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Zabbai
Ezra 10 : 28
28 Na wa wazawa wa Bebai; Yehohanani, na Hanania, na Zakai, na Athlai.
Nehemia 3 : 20
20 ⑭ Baada yake Baruku, mwana wa Zakai, akajenga kwa bidii sehemu nyingine, kutoka pembeni mwa ukuta mpaka mlango wa nyumba ya Eliashibu, kuhani mkuu.
Leave a Reply