Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Yehosheba
2 Wafalme 11 : 2
2 Ila Yehosheba, binti wa mfalme Yehoramu,[4] dada yake Ahazia, akamtwaa Yoashi mwana wa Ahazia, akamwiba miongoni mwa hao wana wa mfalme waliouawa, yeye na mlezi wake, na kuwatia katika chumba cha kulala; wakamficha usoni pa Athalia, basi kwa hiyo hakuuawa.
Leave a Reply