Biblia inasema nini kuhusu Yaeli – Mistari yote ya Biblia kuhusu Yaeli

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Yaeli

Waamuzi 4 : 22
22 Na tazama, Baraka alipokuwa akimfuatia Sisera; Yaeli akatoka ili kumlaki, akamwambia, Njoo, nami nitakuonesha yule mtu unayemtafuta. Basi akamwendea, na tazama, Sisera amelala humo, amekufa, na hicho kigingi kilikuwa kipajini mwake.

Waamuzi 5 : 6
6 ⑤ Katika siku za Shamgari, mwana wa Anathi, Siku za Yaeli, njia kuu zilikuwa hazina watu; Nayo misafara ilipita kwa njia za kando.

Waamuzi 5 : 24
24 ⑱ Atabarikiwa Yaeli kuliko wanawake wote; Mkewe Heberi, Mkeni, Atabarikiwa kuliko wanawake wote hemani.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *