Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Yaakani
Mwanzo 36 : 27
27 Na hawa ni wana wa Eseri, Bilhani, na Zaawani, na Akani.
Kumbukumbu la Torati 10 : 6
6 ① (Wana wa Israeli wakasafiri kutoka visima vya Bene-yaakani kwenda Mosera; Haruni akafa huko, akazikwa huko; na Eleazari mwanawe akahudumu kama kuhani badala yake.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 42
42 Wana wa Eseri; Bilhani, na Zaawani, na Akani. Wana wa Dishani; Usi, na Arani.
Leave a Reply