Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia walaghai
Mithali 14 : 12
12 Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti.
1 Petro 1 : 15
15 bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote;
Leave a Reply