Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia wajinga
Kutoka 20 : 16
16 Usimshuhudie jirani yako uongo.
Mathayo 5 : 22
22 ⑫ Bali mimi nawaambieni, Kila amkasirikiaye ndugu yake itampasa hukumu; na mtu akimtusi ndugu yake, anastahili kuhukumiwa na baraza; na mtu akimwambia nduguye, Ewe mpumbavu, anastahili kuingia katika moto wa Jehanamu.
Leave a Reply