Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Wagadareni
Mathayo 8 : 34
34 Na tazama, mji wote ukatoka kwenda kumlaki Yesu; nao walipomwona, walimsihi aondoke katika nchi yao.
Marko 5 : 19
19 lakini hakumruhusu, bali alimwambia, Nenda zako nyumbani kwako, kwa watu wa kwenu, kawahubirie ni mambo gani makuu aliyokutendea Bwana, na jinsi alivyokurehemu.
Leave a Reply