Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Waashuri
2 Wafalme 19 : 35
35 ① Ikawa usiku uo huo malaika wa BWANA alitoka, akakiingia kituo cha Waashuri, akawapiga watu mia moja themanini na tano elfu. Na watu walipoamka asubuhi na mapema, kumbe! Hao walikuwa maiti wote pia.
Isaya 10 : 5
5 ⑬ Ole wake Ashuru! Fimbo ya hasira yangu, ambaye gongo lililo mkononi mwake ni ghadhabu yangu!
Leave a Reply