Biblia inasema nini kuhusu Vifungo – Mistari yote ya Biblia kuhusu Vifungo

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Vifungo

2 Mambo ya Nyakati 33 : 11
11 Kwa hiyo BWANA akaleta juu yao makamanda wa jeshi la mfalme wa Ashuru, waliomkamata Manase kwa minyororo, wakamfunga kwa pingu, wakamchukua mpaka Babeli.

2 Mambo ya Nyakati 36 : 6
6 ② Juu yake akakwea Nebukadneza,[34] mfalme wa Babeli, akamfunga kwa pingu, amchukue mpaka Babeli.

Marko 5 : 4
4 kwa sababu alikuwa amefungwa mara nyingi kwa pingu na minyororo, akaikata ile minyororo, na kuzivunjavunja zile pingu; wala hakuna mtu aliyekuwa na nguvu za kumshinda.

Waamuzi 16 : 21
21 Wafilisti wakamkamata, wakamng’oa macho; wakateremka naye mpaka Gaza, wakamfunga kwa vifungo vya shaba; naye alikuwa akisaga ngano katika gereza.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *