Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Uwiano
Warumi 15 : 27
27 ① Naam, imewapendeza, tena wamekuwa wadeni wao. Kwa maana ikiwa Mataifa wameyashiriki mambo yao ya roho, imewabidi kuwahudumia kwa mambo yao ya mwili.
1 Wakorintho 9 : 11
11 ⑦ Ikiwa sisi tuliwapandia ninyi vitu vya rohoni, je! Ni neno kubwa tukivuna vitu vyenu vya mwilini?
Wagalatia 6 : 6
6 Mwanafunzi na amshirikishe mwalimu wake katika mema yote.
Leave a Reply