Uvumilivu

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Uvumilivu

Mika 4 : 5
5 Kwa maana mataifa yote watakwenda, kila moja kwa jina la mungu wake, na sisi tutakwenda kwa jina la BWANA, Mungu wetu, milele na milele.

Marko 9 : 40
40 kwa sababu asiye kinyume chetu, yu upande wetu.

Luka 9 : 50
50 ⑰ Yesu akamwambia, Msimkataze, kwa kuwa yeye ambaye si kinyume chenu yu upande wenu.

Matendo 17 : 11
11 ⑧ Watu hawa walikuwa waungwana kuliko wale wa Thesalonike, kwa kuwa walilipokea lile neno kwa hamu kuu, wakayachunguza Maandiko kila siku, ili waone kama mambo hayo ndivyo yalivyo.

Matendo 28 : 31
31 ④ akihubiri habari za ufalme wa Mungu, na kuyafundisha mambo ya Bwana Yesu Kristo, kwa ujasiri mwingi, asikatazwe na mtu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *