Biblia inasema nini kuhusu utunzaji wa wanyama – Mistari yote ya Biblia kuhusu utunzaji wa wanyama

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia utunzaji wa wanyama

Mwanzo 1 : 28
28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuimiliki; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.

Kumbukumbu la Torati 22 : 4
4 Umwonapo punda wa nduguyo, au ng’ombe wake, ameanguka kando ya njia, usijifiche kama usiyemwona; sharti umsaidie kumwinua tena.

Mithali 12 : 10
10 Mwenye haki huufikiri uhai wa mnyama wake; Bali huruma za mtu mwovu ni ukatili.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *