Biblia inasema nini kuhusu upendo wa jirani – Mistari yote ya Biblia kuhusu upendo wa jirani

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia upendo wa jirani

Mambo ya Walawi 19 : 18
18 Usifanye kisasi, wala kuwa na kinyongo juu ya wana wa watu wako; bali umpende jirani yako kama nafsi yako; Mimi ndimi BWANA.

Marko 12 : 31
31 ⑪ Na ya pili ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *