Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Unyama
Kutoka 22 : 19
19 Mtu yeyote alalaye na mnyama sharti atauawa.
Mambo ya Walawi 18 : 23
23 ⑥ Wala usilale na mnyama yeyote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni upotovu.
Leave a Reply