Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia umuhimu wa maombi
Wafilipi 4 : 6
6 Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
Wakolosai 4 : 2
2 ② Dumuni sana katika kuomba, mkikesha katika kuomba mkiwa na shukrani;
Matendo 2 : 42
42 ⑳ Wakawa wakidumu katika fundisho la mitume, na katika ushirika, na katika kuumega mkate, na katika kusali.
Leave a Reply