Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Umaarufu
2 Samweli 3 : 36
36 Wakaangalia watu wote, yakawa mema machoni pao; kama yalivyokuwa mema machoni pao yote aliyoyatenda mfalme.
2 Samweli 15 : 6
6 ⑩ Hivyo ndivyo Absalomu alivyowatendea Israeli wote, waliomwendea mfalme ili wapate hukumu; na hivyo Absalomu akawadanganya watu wa Israeli.
2 Samweli 15 : 13
13 ⑮ Mjumbe akamfikia Daudi, akasema, Mioyo ya watu wa Israeli inashikamana na Absalomu.
Leave a Reply