Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia uhai wa binadamu
Mathayo 24 : 13
13 Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.
Luka 21 : 34 – 36
34 Basi, jihadharini, mioyo yenu isije ikalemewa na ulafi, na ulevi, na masumbufu ya maisha haya; siku ile ikawajia ghafla, kama mtego unasavyo;
35 kwa kuwa ndivyo itakavyowajia watu wote wakaao juu ya uso wa dunia nzima.
36 ① Basi, kesheni ninyi kila wakati, mkiomba, ili mpate kuokoka katika haya yote yatakayotokea, na kusimama mbele za Mwana wa Adamu.
Leave a Reply