Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia ugumu
Ufunuo 3 : 11
11 ⑲ Naja upesi. Shika sana ulicho nacho, asije mtu akaitwaa taji yako.
Yohana 3 : 16
16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Leave a Reply