Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Uamuzi katika Sheria
Mithali 17 : 14
14 Mwanzo wa ugomvi ni kama kutoboa penye maji; Basi acheni ugomvi kabla haujafurika.
Mithali 20 : 3
3 ④ Mtu kujitenga na ugomvi ni heshima kwake; Bali kila mpumbavu ataka kugombana.
Mithali 25 : 10
10 Yeye asikiaye asije akakutukana; Na aibu yako isiondoke.
Leave a Reply