Uajemi

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Uajemi

Isaya 13 : 17
17 ⑥ Tazama, nitawaamsha Wamedi juu yao, ambao hawaoni fedha kuwa kitu, wala hawafurahii dhahabu.

Esta 1 : 3
3 mwaka wa tatu wa kutawala kwake, ikawa aliwafanyia karamu wakuu na mawaziri wake; wakuu wa majeshi ya Uajemi na Umedi; watu maarufu na wakuu wa mikoa, wakihudhuria mbele zake.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *