Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Topografia ya Kanaani
Yoshua 13 : 33
33 ⑧ Lakini Musa hakuwapa kabila la Lawi urithi uwao wote; yeye BWANA, Mungu wa Israeli, ndiye urithi wao, kama alivyowaambia.
Yoshua 18 : 9
9 Basi watu hao wakaenda, wakapita katikati ya nchi, wakaandika habari zake katika kitabu, na kuigawanya kwa miji yake, hata iwe mafungu saba, kisha wakamrejea Yoshua kambini huko Shilo.
Leave a Reply