Biblia inasema nini kuhusu Tirshatha – Mistari yote ya Biblia kuhusu Tirshatha

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Tirshatha

Ezra 2 : 63
63 Na huyo Tirshatha[5] akawaambia kwamba wasile katika vitu vitakatifu sana, hata atakaposimama kuhani mwenye Urimu na Thumimu.

Nehemia 7 : 65
65 Na huyo Tirshatha[9] akawaambia kwamba wasile katika vile vitu vitakatifu sana, hata atakaposimama kuhani mwenye Urimu na Thumimu.

Nehemia 7 : 70
70 Na baadhi ya wakuu wa mbari za mababa walitoa mali kwa ajili ya kazi hii. Yule Tirshatha[10] akatoa kwa ajili ya hazina darkoni,[11] za dhahabu elfu moja, na mabeseni hamsini, na mavazi ya makuhani mia tano na thelathini.

Nehemia 8 : 9
9 Naye Nehemia, ndiye aliyekuwa Tirshatha,[13] na Ezra kuhani, mwandishi, na Walawi waliowafundisha watu, wakawaambia watu wote, Siku hii ni takatifu kwa BWANA, Mungu wenu; msiomboleze wala msilie. Maana watu wote walilia, walipoyasikia maneno ya torati.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *