Biblia inasema nini kuhusu Talmon – Mistari yote ya Biblia kuhusu Talmon

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Talmon

1 Mambo ya Nyakati 9 : 17
17 Na katika mabawabu; Shalumu, na Akubu, na Talmoni, na Ahimani, na ndugu zao; naye Shalumu alikuwa mkuu wao;

Ezra 2 : 42
42 Akina bawabu; wazawa wa Shalumu, wazawa wa Ateri, wazawa wa Talmoni, wazawa wa Akubu, wazawa wa Hatita, wazawa wa Shobai; jumla yao ni mia moja thelathini na tisa.

Nehemia 7 : 45
45 Mabawabu; Wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai, mia moja thelathini na wanane.

Nehemia 11 : 19
19 Pamoja na hao, mabawabu; Akubu, Talmoni, na ndugu zao waliolinda malangoni, walikuwa watu mia moja sabini na wawili.

Nehemia 12 : 25
25 Matania, Bakbukia, Obadia, Meshulamu, Talmoni, na Akubu, walikuwa mabawabu, wa kulinda nyumba za hazina katika malango.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *