solomoni

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia solomoni

1 Wafalme 10 : 12
12 Mfalme akafanya kwa miti hiyo ya msandali nguzo za nyumba ya BWANA, na za nyumba ya mfalme, na vinubi na vinanda vya hao waimbaji; wala haikuja miti ya msandali kama hiyo, wala haikuonekana, hata leo.

2 Mambo ya Nyakati 9 : 24
24 ⑫ Wakaleta kila mtu zawadi yake, vyombo vya fedha, na vyombo vya dhahabu, na mavazi, na silaha, na manukato, na farasi, na nyumbu, kwa wingi kila mwaka.

2 Mambo ya Nyakati 9 : 25
25 ⑬ Sulemani akawa na mazizi ya farasi na magari elfu nne, na wapandao farasi elfu kumi na mbili, aliowaweka katika miji ya magari, na pamoja na mfalme huko Yerusalemu.

2 Mambo ya Nyakati 9 : 23
23 Wafalme wote wa duniani wakamtafuta Sulemani uso wake, ili waisikie hekima yake, Mungu aliyomtia moyoni.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *