Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Shelumieli
Hesabu 1 : 6
6 Wa Simeoni; Shelumieli mwana wa Suri-shadai.
Hesabu 2 : 12
12 Na hao watakaopanga karibu naye ni kabila la Simeoni; na mkuu wa wana wa Simeoni atakuwa Shelumieli mwana wa Suri-shadai;
Hesabu 7 : 36
36 Siku ya tano Shelumieli mwana wa Suri-shadai, mkuu wa wana Simeoni;
Hesabu 7 : 41
41 tena kwa ajili ya dhabihu ya sadaka za amani, ng’ombe dume wawili, na kondoo dume watano, na mbuzi dume watano, na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja; hayo ndiyo matoleo ya Shelumieli mwana wa Suri-shadai.
Hesabu 10 : 19
19 Tena juu ya jeshi la kabila la wana wa Simeoni ni Shelumieli mwana wa Suri-shadai.
Leave a Reply