Biblia inasema nini kuhusu Shefatia – Mistari yote ya Biblia kuhusu Shefatia

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Shefatia

2 Samweli 3 : 4
4 ⑬ na wa nne Adoniya, mwana wa Hagithi; na wa tano Shefatia, mwana wa Abitali;

1 Mambo ya Nyakati 3 : 3
3 wa tano, Shefatia, wa Abitali; wa sita, Ithreamu, kwa Egla, mkewe.

1 Mambo ya Nyakati 9 : 8
8 na Ibneya, mwana wa Yerohamu; na Ela, mwana wa Uzi, mwana wa Mikri; na Meshulamu, mwana wa Shefatia, mwana wa Reueli, mwana wa Ibniya;

1 Mambo ya Nyakati 12 : 5
5 Eluzai, na Yerimothi, na Bealia, na Shemaria, na Shefatia Mharufi;

1 Mambo ya Nyakati 27 : 16
16 Wakuu wa makabila ya Israeli walikuwa hawa; wa Wareubeni, Eliezeri mwana wa Zikri; wa Wasimeoni, Shefatia mwana wa Maaka;

2 Mambo ya Nyakati 21 : 2
2 Naye alikuwa na ndugu, wana wa Yehoshafati, Azaria, Yehieli, Zekaria, Azaria, Mikaeli, na Shefatia; hao wote walikuwa wana wa Yehoshafati mfalme wa Yuda.[21]

Ezra 2 : 4
4 Wazawa wa Shefatia, mia tatu sabini na wawili.

Ezra 2 : 57
57 wazawa wa Shefatia, wazawa wa Hatili, wazawa wa Pokereth-Sebaimu, wazawa wa Amoni.

Ezra 8 : 8
8 Na wa wana wa Shefatia, Zebadia, mwana wa Mikaeli; na pamoja naye wanaume themanini.

Nehemia 7 : 9
9 Wana wa Shefatia, mia tatu sabini na wawili.

Nehemia 7 : 59
59 wana wa Shefatia, wana wa Hatili, wana wa Pokereth-Sebaimu, wana wa Amoni.

Nehemia 11 : 4
4 Tena wakakaa Yerusalemu wengine wa wana wa Yuda, na wengine wa wana wa Benyamini. Wa wana wa Yuda; Athaya, mwana wa Uzia, mwana wa Zekaria, mwana wa Amaria, mwana wa Shefatia, mwana wa Mahalaleli, wa wana wa Peresi;

Yeremia 38 : 1
1 ② Na Shefatia, mwana wa Matani, na Gedalia, mwana wa Pashuri, na Yukali, mwana wa Shelemia, na Pashuri, mwana wa Malkiya, wakayasikia maneno ambayo Yeremia aliwaambia watu wote, akisema,

Yeremia 38 : 4
4 ⑤ Ndipo wakuu wakamwambia mfalme, Twakuomba, mtu huyu auawe, kwa kuwa aidhoofisha mikono ya watu wa vita, waliobaki katika mji huu, na mikono ya watu wote, kwa kuwaambia maneno kama hayo; maana mtu huyu hawatafutii watu hawa heri, bali shari.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *