Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Shaalbim
Yoshua 19 : 42
42 ⑳ Shaalabini, Aiyaloni, Ithla;
Waamuzi 1 : 35
35 ① lakini hao Waamori waliendelea kukaa katika kilima cha Heresi, na katika Aiyaloni, na katika Shaalbimu; pamoja na haya mkono wa hiyo nyumba ya Yusufu ulishinda, hata wakawalazimisha shokoa.
1 Wafalme 4 : 9
9 Mwana wa Dekari, kutoka Makasi, na Shaalbimu na Beth-shemeshi na Elon-beth-hanani.
Yoshua 19 : 42
42 ⑳ Shaalabini, Aiyaloni, Ithla;
Leave a Reply