Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Salcah
Kumbukumbu la Torati 3 : 10
10 miji yote ya nchi tambarare, na Gileadi yote, na Bashani yote, mpaka Saleka na Edrei, nayo ni miji ya ufalme wa Ogu katika Bashani.
Yoshua 12 : 5
5 naye alitawala katika mlima wa Hermoni, na katika Saleka, na katika Bashani yote, hadi mpaka wa Wageshuri, na Wamaaka, na nusu ya Gileadi, mpaka wa huyo Sihoni mfalme wa Heshboni.
Yoshua 13 : 11
11 na Gileadi na mpaka wa Wageshuri, na Wamaaka, na mlima wa Hermoni wote, na Bashani yote mpaka Saleka;
1 Mambo ya Nyakati 5 : 11
11 ④ Na wana wa Gadi walipakana na wana wa Reubeni, katika nchi ya Bashani mpaka Saleka;
Leave a Reply