Biblia inasema nini kuhusu Rye – Mistari yote ya Biblia kuhusu Rye

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Rye

Kutoka 9 : 32
32 Lakini ngano na kusemethi hazikupigwa; maana, zilikuwa hazijakua bado.

Isaya 28 : 25
25 Akiisha kuulainisha uso wa nchi yake, je! Hamwagi huku na huko kunde, na kutupatupa jira, na kuitia ngano safu safu, na shayiri mahali pake palipochaguliwa, na kusemethi karibu na mipaka yake?

Ezekieli 4 : 9
9 Pia ujipatie ngano, na shayiri, na kunde, na dengu, na mtama, na kusemethi, ukavitie vyote katika chombo kimoja, ukajifanyie mkate kwa vitu hivyo; kwa kadiri ya hesabu ya siku utakazolala ubavuni mwako; yaani, siku mia tatu na tisini utaula.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *