Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ramoth
Ezra 10 : 29
29 Na wa wazawa wa Bani; Meshulamu, na Maluki, na Adaya, na Yashubu, na Sheali, na Yeremothi.
Yoshua 19 : 8
8 tena vijiji vyote vilivyozunguka miji hiyo kotekote mpaka Baalath-beeri, Rama wa Kusini. Huo ndio urithi wa kabila la wana wa Simeoni kwa kuandama jamaa zao.
1 Samweli 30 : 27
27 yaani, kwa hao wa Betheli, na kwa hao wa Ramoth-Negebu, na kwa hao wa Yatiri;
Leave a Reply