Rabsari

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Rabsari

2 Wafalme 18 : 17
17 ⑧ Mfalme wa Ashuru akawatuma jemadari wake, na mkuu wa matowashi, na kamanda wake,[11] toka Lakishi, kwa mfalme Hezekia huko Yerusalemu, pamoja na jeshi kubwa. Nao wakakwea wakafika Yerusalemu. Na walipokwisha kufika, wakaja wakasimama karibu na mfereji wa birika la juu, lililo katika njia kuu ya kuuendea Uwanda wa Dobi.

Yeremia 39 : 3
3 wakuu wote wa mfalme wa Babeli wakaingia, wakaketi katika lango la katikati, yaani, Nergal-Shareza, mnyweshaji, Nebu-Sarseki, mkuu wa matowashi, Nergal-Shareza, mkuu wa wanajimu,[6] pamoja na wakuu wengine wote wa mfalme wa Babeli.

Yeremia 39 : 13
13 Basi Nebuzaradani, mkuu wa askari walinzi, na Nebu-Shazbani, mkuu wa matowashi, na Nergal-Shareza, mkuu wa wanajimu,[8] na maofisa wote wakuu wa mfalme wa Babeli,

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *