Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Pembe
Kutoka 23 : 28
28 ⑩ Nami nitapeleka mavu[26] mbele yako, watakaomfukuza Mhivi, na Mkanaani, na Mhiti, watoke mbele yako.
Kumbukumbu la Torati 7 : 20
20 ③ Tena BWANA, Mungu wako, atampeleka mavu kati yao, hata hao watakaosalia, hao wajifichao, waangamie mbele zako.
Yoshua 24 : 12
12 ⑪ Nikatuma nyigu mbele yenu, waliowafukuza mbele yenu hao wafalme wawili wa Waamori, si kwa upanga wako, wala kwa upinde wako.
Leave a Reply