Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Pas-Dammim
1 Mambo ya Nyakati 11 : 13
13 ⑩ Huyo alikuwa pamoja na Daudi huko Pasdamimu; ndiko Wafilisti walikokusanyika vitani,[8] palipokuwa na shamba lililojaa shayiri; na hao watu wakakimbia mbele ya Wafilisti.
1 Samweli 17 : 1
1 Wakati huo Wafilisti walikusanya majeshi yao kwa vita, nao wakakusanyika huko Soko, ulio mji wa Yuda, wakatua kati ya Soko na Azeka, katika Efes-damimu.
Leave a Reply