Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Pagiel
Hesabu 1 : 13
13 Wa Asheri; Pagieli mwana wa Okirani.
Hesabu 2 : 27
27 Na hao watakaopanga karibu naye ni kabila la Asheri; na mkuu wa wana wa Asheri atakuwa Pagieli mwana wa Okrani;
Hesabu 7 : 72
72 Na siku ya kumi na moja Pagieli mwana wa Okrani, mkuu wa wana wa Asheri;
Hesabu 7 : 77
77 tena kwa ajili ya dhabihu ya sadaka za amani, ng’ombe dume wawili, na kondoo dume watano, na mbuzi dume watano, na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja; hayo ndiyo matoleo ya Pagieli mwana wa Okrani.
Hesabu 10 : 26
26 Tena juu ya jeshi la kabila la wana wa Asheri ni Pagieli mwana wa Okrani;
Leave a Reply