Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Onja
2 Samweli 19 : 35
35 ⑤ Sasa nina miaka themanini; nami je! Naweza kupambanua mema na mabaya? Mimi mtumishi wako, je! Naweza kuonja nilacho au ninywacho? Naweza kusikia tena sauti ya waimbaji wa kiume na wa kike? Kwa nini basi mtumishi wako azidi kumlemea bwana wangu mfalme?
Leave a Reply