Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Onesimo
Wakolosai 4 : 9
9 ⑩ pamoja na Onesimo, ndugu mwaminifu, mpendwa, aliye mtu wa kwenu. Hao watawaarifu mambo yote ya hapa petu.
Filemoni 1 : 10
10 Nakusihi kwa ajili ya mtoto wangu niliyemzaa nikiwa kifungoni mwangu, yaani, Onesimo;
Leave a Reply