Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Neophytes
Marko 4 : 33
33 Kwa mifano mingi ya namna hii alikuwa akisema nao neno lake, kwa kadiri walivyoweza kulisikia;
Yohana 16 : 4
4 ⑥ Lakini nimewaambia hayo, ili makusudi saa ile itakapokuja myakumbuke ya kuwa mimi niliwaambia. Sikuwaambia hayo tangu mwanzo, kwa sababu nilikuwapo pamoja nanyi.
Yohana 16 : 12
12 ⑭ Hata bado ningali ninayo mengi ya kuwaambia, lakini hamuwezi kuyastahimili hivi sasa.
1 Wakorintho 3 : 2
2 ⑬ Niliwanywesha maziwa sikuwalisha chakula; kwa kuwa mlikuwa hamjakiweza. Naam, hata sasa hamkiwezi,
1 Wakorintho 8 : 9
9 Lakini angalieni huu uwezo wenu usije ukawakwaza wale walio dhaifu.
Leave a Reply