Biblia inasema nini kuhusu Nehushtani – Mistari yote ya Biblia kuhusu Nehushtani

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Nehushtani

2 Wafalme 18 : 4
4 Alipaondoa mahali pa juu, akazibomoa nguzo, akaikata hiyo Ashera; akaivunja vipande vipande ile nyoka ya shaba aliyoifanya Musa; maana hata siku zile wana wa Israeli walikuwa wakiifukizia uvumba; naye akaiita jina lake Nehushtani.[10]

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *