Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Nathanaeli
Yohana 1 : 49
49 ⑬ Nathanaeli akamjibu, Rabi, wewe u Mwana wa Mungu, ndiwe Mfalme wa Israeli.
Yohana 21 : 2
2 ⑦ Simoni Petro, na Tomaso aitwaye Pacha, na Nathanaeli wa Kana ya Galilaya, na wana wa Zebedayo, na wengine wawili wa wanafunzi wake, walikuwapo pamoja.
Leave a Reply