Nasaba

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Nasaba

Hesabu 1 : 18
18 nao waliwakutanisha watu wote, siku ya kwanza ya mwezi wa pili, nao wakaonesha ukoo wa vizazi vyao kwa kufuata jamaa zao, kwa nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, mmoja mmoja.

2 Mambo ya Nyakati 12 : 15
15 ④ Basi mambo yake Rehoboamu, ya kwanza hadi za mwisho, je! Hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu Shemaya nabii na Ido mwonaji, kwa jinsi ya kuandika nasaba? Kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu siku zote.

Nehemia 7 : 5
5 ⑬ Mungu wangu akanitia moyoni mwangu, kwamba niwakusanye wakuu na maofisa, na watu, ili wahesabiwe kwa nasaba. Nikakiona kitabu cha vizazi vya hao waliokwea hapo kwanza, nikaona ya kwamba imeandikwa humo;

Mathayo 3 : 9
9 ⑧ wala msiwaze mioyoni mwenu kwamba, Tunaye baba, ndiye Abrahamu; kwa maana nawaambia ya kwamba Mungu aweza katika mawe haya kumwinulia Abrahamu watoto.

1 Timotheo 1 : 4
4 wala wasiangalie hadithi na nasaba zisizo na kikomo, zinazozua maswali wala si mpango[1] wa Mungu ulio katika imani; basi uwaambie hivyo.

Tito 3 : 9
9 ④ Lakini ujiepushe na mabishano ya kipumbavu, nasaba, magomvi, na mabishano ya sheria. Kwa kuwa hayana manufaa, tena hayafai kitu.

Mwanzo 4 : 22
22 Sila naye akamzaa Tubal-kaini, mfua kila chombo cha kukatia, cha shaba na cha chuma; na dada yake Tubal-kaini alikuwa Naama.

1 Mambo ya Nyakati 1 : 4
4 na Nuhu, na Shemu, na Hamu, na Yafethi.

Luka 3 : 38
38 ⑰ wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu.

Mwanzo 11 : 32
32 Siku za Tera zilikuwa miaka mia mbili na mitano; Tera akafa katika Harani.

1 Mambo ya Nyakati 1 : 27
27 na Abramu, naye ndiye Abrahamu.

Luka 3 : 38
38 ⑰ wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu.

Mathayo 1 : 16
16 Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.

Luka 3 : 38
38 ⑰ wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu.

Mwanzo 22 : 24
24 Na suria wake Reuma naye alizaa Teba na Gahamu na Tahashi na Maaka.

Mwanzo 25 : 4
4 Na wana wa Midiani walikuwa, Efa, na Eferi, na Hanoki, na Abida, na Eldaa. Hao wote walikuwa ni wana wa Ketura.

1 Mambo ya Nyakati 1 : 33
33 Na wana wa Midiani; Efa, na Eferi, na Hanoki, na Abida, na Eldaa. Hao wote ndio wana wa Ketura.

Mwanzo 25 : 16
16 ⑲ Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao.

1 Mambo ya Nyakati 1 : 31
31 na Yeturi, na, Nafishi, na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *