Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Mti wa Chestnut
Mwanzo 30 : 37
37 ⑧ Yakobo akatwaa fito za mlubna mbichi, na mlozi, na mwaramoni, akazibambua maganda, mistari myeupe ionekane ndani ya hizo fito.
Ezekieli 31 : 8
8 Mierezi ya bustani ya Mungu haikuweza kumficha; misonobari haikuwa kama vitanzu vyake, na miamori haikuwa kama matawi yake, wala bustanini mwa Mungu hamkuwa na mti wowote uliofanana naye kwa uzuri.
Leave a Reply