Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Misheal
Yoshua 19 : 26
26 ⑬ Alameleki, Amadi na Mishali; nao ukafika hadi Karmeli upande wa magharibi, tena ulifikia hadi Shihor-libnathi;
Yoshua 21 : 30
30 Tena katika kabila la Asheri, Mishali pamoja na mbuga zake za malisho, na Abdoni pamoja na mbuga zake za malisho;
Leave a Reply