Biblia inasema nini kuhusu Mattani – Mistari yote ya Biblia kuhusu Mattani

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Mattani

2 Wafalme 11 : 18
18 Watu wote wa nchi wakaiendea nyumba ya Baali, wakaiangusha; madhabahu zake na sanamu zake wakazivunjavunja kabisa, na Matani kuhani wa Baali wakamwua mbele ya madhabahu. Na Yehoyada kuhani akaweka walinzi wa nyumba ya BWANA.

2 Mambo ya Nyakati 23 : 17
17 Na watu wote wakaiendea nyumba ya Baali, wakaibomoa; wakavunjavunja madhabahu zake na sanamu zake, wakamwua Matani kuhani wa Baali mbele ya madhabahu.

Yeremia 38 : 1
1 ② Na Shefatia, mwana wa Matani, na Gedalia, mwana wa Pashuri, na Yukali, mwana wa Shelemia, na Pashuri, mwana wa Malkiya, wakayasikia maneno ambayo Yeremia aliwaambia watu wote, akisema,

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *