Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia matangazo
Danieli 2 : 48
48 ③ Basi mfalme akamtukuza Danieli, akampa zawadi kubwa nyingi sana, akamfanya kuwa mkubwa juu ya utawala wote wa Babeli, na kuwa mtawala mkuu juu ya wote wenye hekima wa Babeli.
Zaburi 75 : 7
7 ③ Bali Mungu ndiye ahukumuye; Humdhili huyu na kumwinua huyu.
Danieli 3 : 30
30 Kisha mfalme akawakuza Shadraka, na Meshaki, na Abednego, katika wilaya ya Babeli.
Leave a Reply