Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Mashal
Yoshua 19 : 26
26 ⑬ Alameleki, Amadi na Mishali; nao ukafika hadi Karmeli upande wa magharibi, tena ulifikia hadi Shihor-libnathi;
Yoshua 21 : 30
30 Tena katika kabila la Asheri, Mishali pamoja na mbuga zake za malisho, na Abdoni pamoja na mbuga zake za malisho;
1 Mambo ya Nyakati 6 : 74
74 na katika kabila la Asheri; Mishali pamoja na viunga vyake, na Abdoni pamoja na viunga vyake;
Leave a Reply