Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Manahathi
Mwanzo 36 : 23
23 Na hawa ni wana wa Shobali, Alvani, na Manahathi, na Ebali, na Shefo, na Onamu.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 40
40 Wana wa Shobali; Alvani, na Manahathi, na Ebali, na Shefo, na Onamu. Na wana wa Sibeoni; Aya, na Ana.
1 Mambo ya Nyakati 8 : 6
6 ⑬ Na hawa ndio wana wa Ehudi. (Hao ndio wakuu wa mbari za baba zao miongoni mwa wenyeji wa Geba; nao wakawachukua mateka mpaka Manahathi;
Leave a Reply